WAZIRI MKUU AKIKAGUA MAREKEBISHO YA UKUMBI WA BUNGE
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua marekebisho yanayofanyika katika
ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Januari 18, 2013 ikiwa ni maandalizi ya
Bunge la Katiba linalotarajiwa kuanza mwezi ujao. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akikagua kazi ya uwekaji viti vipya katika ukumbi wa Bunge mjini
Dodoma Januari 18,2014 ikiwa ni maandalizi ya Bunge la Katiba
linalotarajiwa kuanza mwezi ujao. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment