Sunday, January 12, 2014

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MABALOZI

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja Mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya(Sherry Party) aliyowaandalia.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja Mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa wanawake wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya(Sherry Party) aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya(Sherry Party) aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment