Sunday, January 05, 2014

HARAMBEE YA KUTUNISHA MFUKO WA UJENZI WA KANISA KATORIKI LA KIMKUNDA

 Askofu msaidizi wa jimbo katoriki la Bukoba Methodius Kilaini akiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa mkoa wa Kagera, Kanali Mstaafu Fabian Massawe baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa kanisa la Kimkunda lililoko wilayani Misenyi.
 Joseph Mshumbusi na Protace Ishengoma hawa ni wadau wakuu wa ujenzi wa kanisa hilo.



 Dr George Buberwa kushotio na mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Misenyi William Katunzi kulia.





No comments:

Post a Comment