Wednesday, January 22, 2014

VYAMA VYA CCM NA CHADEMA VYATOA TAMKO LA KUISHINIKIZA SERIKALI IMFIKISHE MEYA WA MANISPAA YA BUKOBA ANATORY AMANI MAHAKAMANI ILI AJIBU TUHUMA ZA UBADHILIFU ZILIZOBAINISHWA NA OFISI YA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI

Baadhi ya viongozi wa CCM wakitoa tamko la kuishinikiza serikali, chama hicho kimetoa tamko kupitia jumuia ya vijana (UVCCM) mkoa wa Kagera.
Katibu wa jumuia ya umoja wa vijana wa mkoa wa Kagera UVCCM, Didas Ziimbile akiongea jambo.
Katibu wa CHADEMA wa wilaya ya Bukoba, Renatus Ikengya akiotoa tamko la chama hicho.
Mdau Mbeikya akiwa nje ya jengo la CCM la mkoa wa Kagera.

No comments:

Post a Comment