Monday, November 11, 2013

WAZIRI MKUU NA WADAU WA CCM

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na  Mkewe Tunu (lkushoto) wakifurahia jambo katika mazunguzo kati yao na  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Profesa Mark Mwandosya (wa pili kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba (wapili kulia) mjini Dodoma Novemba 10, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment