![]() |
| Mwenyekiti wa wabunge wa bunge la wanawake la afrika Bi Bernadetha Mshashu muda mfupi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba. |
![]() |
| Bi. Mshashu akisaini kitabu cha wageni. |
![]() |
| Akisalimiana na viongozi na wanawake waliofika kwenye uwanja wa ndege kumlaki. |
![]() |
| Baadhi ya wanawake waliofika uwanjani kumlaki. |
![]() |
| Mkuu wa wilaya ya Bukoba Bi Ziporah Pangani kulia alikuwa miongoni mwa wanawake waliojitokeza kumlaki Bi. Mshashu ambaye pia ni mbunge wa viti maalumu mkoani kagera. |
![]() |
| Mstahiki Meya wa manispaa ya Bukoba Anatory Amani mwenye miwami alikuwa miongoni mwa waliojitokeza kumlaki. |









No comments:
Post a Comment