Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
Mama Salma Kikwete na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Mhe James na daktari
wa zamu wakimwangalia Mjumbe wa Tume ya Katiba Dkt Sengondo Mvungi
aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kitengo cha Mifupa
(MOI) leo Oktoba 3, 2013 kufuatia kujeruhiwa kwake na watu wanaosadikiwa
ni majambazi usiku wa Jumamos Oktoba 2, 2013
No comments:
Post a Comment