Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Jaji Mkuu wa Tanzania,
Othman Chande (kuhoto) na Rais wa Mahakama ya afrika Jaji Sophia Kuffo
kabla ya kufungua mkutano wa majaji wa Afrika kwenye kituo cha Mikutano
cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 18, 2013. |
No comments:
Post a Comment