Wednesday, November 06, 2013

UZINDUZI WA MPANGO WA USHIRIKIANO

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Maendeleo ya Kimataifa, Justine Greening  (kushoto) kabla ya kuzindua Mpango wa Ushirikiano wa Maendeleo kati ya Tanzania na Uingereza katika Maendeleo ya Soko la Makampuni ya Kati uliofanyika katika hoteli ya  Hyatt Regency- Kilimajaro mjini Dar es salaam Novemba 5,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  Baadhi ya washiriki wa  Uzinduzi wa Mpaango  waUshirikiao wa Maendeleo kati yaTanzania na Uingereza katika Maendeleo ya Soko la Makampuni ya Kati uliofanyika  katika hoteli ya Hyatt Regency mjini Dar es salaam Novemba 5, 2013 wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipohutubia. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments:

Post a Comment