Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Katibu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Bw. M Mkosimonga uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye kanisa hilo huko Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea Msahafu.
Sunday, October 14, 2012
RAIS KIKWETE ATEMBELEA MAKANISA YALIYOHARIBIWA KATIKA VURUGU ZA WAISLAMU MBAGALA, ATOA POLE KWA WAUMINI, AWAHAKIKISHIA MKONO WA SHERIA KUWANASA WOTE WALIOHUSIKA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Mchungaji Alkwin Mbawi
uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye magari yaliyokuwa yameegeshwa ndani
ya kanisa la Pentekoste la Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu
za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea
Msahafu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Katibu wa Kanisa la Anglikana
Dayosisi ya Dar es salaam Bw. M Mkosimonga uharibifu mkubwa uliofanywa
kwenye kanisa hilo huko Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu
za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea
Msahafu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Katibu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Bw. M Mkosimonga uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye kanisa hilo huko Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea Msahafu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Katibu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Bw. M Mkosimonga uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye kanisa hilo huko Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea Msahafu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment