PICHA NA IKULU
Friday, October 19, 2012
MKUTANO WA KUJADILI SEKTA YA GESI ASILIA
Meneja wa Sekta Kupunguza Umaskini na Kusimamia Maendeleo
ukanda wa Afrika wa Benki ya Dunia Dkt Albert Zeufack, akongea wakati wa
mkutano na wanahabari Ikulu jijini Dar es salaam leo kuhusu sekta ya
Gesi asilia nchini, akiwa ameongozana na mabalozi wa nchi kadhaa pamoja
na Timu
ya wataalam walioletwa na washirika wa maendeleo na inayowakilisha Benki ya Maendeleo ya Afrika, Benki ya Dunia, Shirika la
Fedha la Kimataifa, Jumuiya ya Nchi za Ulaya na Nchi za China,
Uingereza na Ujerumani
Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi Ombeni Sefue akitoa ufafanuzi kwa baadhi ya waandishi wa habari
baada ya mkutano na wanahabari Ikulu jijini Dar es salaam leo kuhusu
sekta ya Gesi asilia nchini.Mkutano huo ulihudhruiwa pia na mabalozi wa
nchi kadhaa pamoja na timu ya wataalam
walioletwa na washirika wa maendeleo na inayowakilisha Benki ya
Maendeleo ya Afrika, Benki ya Dunia, Shirika la Fedha la Kimataifa,
Jumuiya ya Nchi za Ulaya na Nchi za China, Uingereza na Ujerumani ilipotembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo. Wa pili kushoto ni Waziri wa Katiba na Sheria Bw. Mathias Chikawe, akifuatiwa na Naibu Katibu Mkuu Ikulu Mama Suzan Mlawi na maafisa waandamizi wa Ofisi ya Rais, kamati hiyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment