Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akipokea zawadi ya ua kutoka
wadogo zake Salma Rehani (kulia), Mkaroga Rehani (wapili kulia) na Mabe
Rehani baada ya kutunukiwa Shahada ya Uongozi wa Biashara katika
mahafali ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika kwenye viwanja
vya Chuo hicho.
Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, John Samwel Malecela akimtunuku
Shahada ya Uongozi wa Biashara, Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda
katika Mahafali ya Chuo Kikuu Huria yaliyofanyika kwenye viwanja vya
Chuo hicho Kibaha Oktoba 27, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment