Monday, June 29, 2015

WAZIRI MKUU PINDA MKOANI MWANZA NA MARA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere  wakati alipokwenda kijijini  Butiama mkoani Mara kumsalimia akiwa njiani kuelekea Mwanza  akitoka Musoma.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na   Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere  wakati alipokwenda Butiama mkoani Mara kumsalimia akiwa njiani kuelekea Mwanza  akitoka Musoma.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akitazama kifimbo alichozawadiwa  na Mtoto wa Baba wa Taifa, Madaraka Nyerere  (kulia) wakati alipomtembelea mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere kijijini Butiama akiwa njiani kuelekea Mwanza akitoka Musoma,Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Musoma  Zelote Stephen.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana  katika futari iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza  Magesa Mulongo kwenye hoteli ya Malaika mjini Mwanza.

No comments:

Post a Comment