Tuesday, June 23, 2015

BUNGENI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Peramiho na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge,Jenista Mhagama bungeni mjini Dodoma Juni 22, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama akiteta na Mbunge wa Kibakwe na Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene bungeni mjini Dodoma Juni 22, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mafia , Abdulkarim Shahah  (kulia) na Mbunge wa Moshi Mjini Philemon Ndesamburo (katikati) kwenye jengo la Utawala la  Bunge mjini Dodoma juni 22, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment