Tuesday, June 09, 2015

BUNGENI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo kati yake na Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini na Naibu Waziri wa Fedha na Mbunge wa Mkuranga, Adam Malima (kulia) kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 9, 2015.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Maswa  Magharibi, John Shibuda kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 9, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Kilolo, Profesa Peter Msolla (kushoto) akiteta na Mbunge wa Rungwe Magharibi, Profesa David Mwakyusa, Bungeni mjini Dodoma Juni 9, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment