Thursday, June 11, 2015

BUNGENI DODOMA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia katika mazungumzo ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Mhandisi Christopher Chiza,(kushoto) na Mbunge wa Bariadi Magharibi, John Cheyo.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Nyamagana, Ezekia Wenje.
 Waziri waNchi Ofisi ya Rais, Profesa Mark Mwandosya akisikiliza kwa makini Bungeni.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Dr. Mary Nagu akiwasilisha  taarifa ya hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2014 na Mwelekeo  wa mpango wa Maendeleo  kwa mwaka 2015/2016 bungeni mjni Dodoma.

No comments:

Post a Comment