Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Jumuiya za Wafanyabiashara wa kati wa Kariakooo na Mikoani kuhusu mgogoro wa matumizi ya mashine za TRA, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Feb 12, 2014- usiku.Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha, Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa wa Kampuni ya China ya AVIC Group China Civil Aviation inayopkusudia kuwekeza katika kampuni ya Ndgege ya ATCL, Ofisini kwake jijini Dar es salaam, Februari 13, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment