KAMPUNI YA UTALII YA UBELGIJI YAINADI TANZANIA
Bwana
Damian George Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Utalii ya African Breakaway
Safaris akinadi vivutio vya utalii vya Tanzania katika Maonesho ya
Utalii yanayoendelea jijini Brussels.
Bi. Laurence Joiris wa kampuni ya Bel Afrika ya Ubelgiji akinadi vivutio
vya utalii vya Tanzania katika Maonesho ya Utalii yanayoendelea
Brussels.
Balozi
wa Tanzania BELUX na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala
akimsikiliza mwakilishi wa kampuni ya Utalii ya Reisspeciliast ya
Ubelgiji akimweleza jinsi kampuni hiyo inavyopeleka watalii Tanzania
mara mbili kwa mwaka na jitihada zinazofanywa na kampuni hiyo kuitangaza
Tanzania Ubelgiji. Balozi Kamala ameishukuru kampuni hiyo na ameiomba
iendelee kuitangaza Tanzania.
Dr. Remo wa Ubelgiji akifurahia kahawa ya Tanzania katika banda la Tanzania la Maonesho ya Utalii yanayoendelea jijini Brussels.
No comments:
Post a Comment