Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Spika wa Bunge, Anne Makinda
kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma katika semina ya Wajumbe wa Bunge
Maalum la Katiba, Februari 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la
Katiba kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Februari 27, 2014. Kutoka
kushoto ni Maria Sarungi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mahusiano na
Uratibu na Mbunge wa Bunda, Stephen Wasira na Mbunge wa
Igalula,Athumani, Mfutakamba. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
No comments:
Post a Comment