Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Marais
wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjmin William Mkapa baada ya
kuwasili katika hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi ya dharura kwa
watoto pamoja na vifaa vyake katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kati ya
kiasi cha shilingi 1bn/ zilizohitajika, jumla ya shilingi 602,080,000/-
zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika usiku wa Jumamosi Fabruari 22,
2014 katika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibadilishana
mawazo na Marais wastaafu Alhaj Ali
Hassan Mwinyi na Mzee Benjmin William Mkapa katika hafla ya harambee ya
kuchangia ujenzi wa wodi ya dharura kwa watoto pamoja na vifaa vyake katika
hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kati ya kiasi cha shilingi 1bn/ zilizohitajika,
jumla ya shilingi 602,080,000/- zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika
usiku wa Jumamosi Fabruari 22, 2014 katika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es
salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru
mwakilishi wa UNICEF nchini kwa mchango wa dola za kimarekani 100,000 huku Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na
Mzee Benjmin William Mkapa wakishuhudia katika hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi
ya dharura kwa watoto pamoja na vifaa vyake katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili. Kati ya kiasi cha shilingi 1bn/ zilizohitajika, jumla ya shilingi 602,080,000/-
zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika usiku wa Jumamosi Fabruari 22,
2014 katika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment