Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi),Mh.
Aggrey Mwanri (wa pili kulia) akiwa pamoja na Wajumbe wengine kufatilia
moja ya vikao vinavyoendelea kwenye Kongamano la Uwekezaji Kanda ya
Ziwa,linaloendelea kufanyika hivi sasa kwenye Ukumbu wa Mikutano wa
Hoteli ya Malaika,jijini
Mwanza.
No comments:
Post a Comment