Hii ni sehemu ya vyumba vua madarasa ambavyo Profesa Tibaijuka amevijenga kwa nguvu yake katika kijiji cha Buhanga, Profesa Tibaijuka amefikia uamzi wa kujenga vyumba hivyo baada ya kutembelea kijiji hicho kuongea na wananchi, vyumba vingi vya madarasa katika shule hiyo ya msingi vilikuwa vimengwa kwa udogo huku vikiwa vimeezekwa kwa nyasi. |
No comments:
Post a Comment