Saturday, June 01, 2013

WAZIRI MKUU PINDA KIBAONI-KATAVI

 Wakazi wa kijiji cha Kibaoni wilayani wilayani Mlelele, Katavi wa wakisafirisha mazao kwa kutumia wanayama kazi kijijini kwao.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akikagua ujenzi wa Shule ya Msingi ya kakuni katika kijiji cha Kibaoni wilayani Mlele ambayo ujenzi wake unasimamiwa kwa karibu sana na yeye mwenyewe.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Bibi Marietha  Mkata wa kijiji cha  Kibaoni  wilayani Mlele wakati alipomtembelea Bibi huyo nyumbani kwake May 31, 2013. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment