Friday, June 14, 2013

MAZISHI YA MZEE JULIAN KIBINDO LUKINDO BABA MZAZI WA SUZANI MUNGY WA SHRIKA LA UTANGAZAJI TANZANIA TBC YA FANYIKA KIJINI KWAKE MUHEZA TANGA



Suzana Mungy wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) akiweka udongo katika kaburi la Baba yake mzazi Mzee Julian Kibindo Lukindo(78) ambaye amezikwa  jana jioni kijijini kwake Muheza Tanga Mzee Lukindo amezaliwa 1935 na amefariki tarehe 10 june2013.

No comments:

Post a Comment