Tuesday, June 04, 2013

MKUTANO WA TEKNOHAMA


Katibu mkuu wa ofisi ya rais menejimenti ya utumishi wa umma GEORGE YAMBESI amewataka wajumbe wa umoja wa vituo vya elimu kwa njia ya mtandao barani AFRIKA washirikiane na makampuni ya TEHAMA na simu za mikononi kuwafikishia elimu wananchi walio maeneo ya Vijijini
Bwana Yambesi ndiye aliyeufungua mkutano huo leo picha na Chris Mfinanga
 Katibu Mkuu ofisi ya Raisi na utumishi wa umma Bw Georg Yambesi c akijadiliana jambo na Rais wa (AADCL) na Mkurugenzi (DLC) kutoka  Senegal Bwana Mor Seck kushoto kwa Yambesi ni Mkurugenzi mtedaji wa (TAGLA) Charles Senkoro.
Wajumbe wa mkutano wa TEKNOHAMA.

No comments:

Post a Comment