Wednesday, June 19, 2013

UJIO WA LWAKATARE MJINI BUKOBA BAADA YA KUPEWA DHAMANA

 Baadhi ya waandishi wakiwa kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba kushuhudia mapokezi ya mbunge wqa zamani wa Bukoba mjini Wilfred Lwakatare, hata hivyo Lwakatare hakutokea katika uwanja huo hivyo aliwapiga wapenzi wake mchanga wa macho baada ya kuingia mjini kwa njia ambazo hazikuelewa na kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa mashujaa.




No comments:

Post a Comment