Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini
kwenye kitabu cha maombolezo Upanga jijini Dar es salaam alipokwenda kwenye msiba wa mmoja wa wanasiasa
wakongwe nchini, Marehemu Mzee Peter Kisumo, aliyefariki dunia Jumatatu katika
Hospitali ya taifa ya Muhimbili ambako alikuwa anapatiwa matibabu8 ya figo. Marehemu
Mzee Kisumo alipata kuwa Mzee wa Chama cha TANU, Muasisi na mdhamini wa Chama
cha CCM na aliyeshikilia nafasi nyingi za uongozi ndani ya Serikali na utumishi
wa umma ukiwemo uwaziri.
Rais
wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akimfariji mjane wa wanasiasa wakongwe nchini, Marehemu Mzee Peter
Kisumo, aliyefariki dunia Jumatatu katika
Hospitali ya taifa ya Muhimbili ambako alikuwa anapatiwa matibabu8 ya
figo. Marehemu
Mzee Kisumo alipata kuwa Mzee wa Chama cha TANU, Muasisi na mdhamini wa Chama
cha CCM na aliyeshikilia nafasi nyingi za uongozi ndani ya Serikali na utumishi
wa umma ukiwemo uwaziri.
No comments:
Post a Comment