WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAZISHI YA DIWANI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitupa udongo kwenye kaburi la aliyekuwa
diwani wa kata ya Nduli, CCM , Iddi chonanga katika mazishi
yaliyofanyika mjini Iringa Julai 5, 2013.Mheshiiwa Pindaalikuwa njiani
akielekea Njombe kwa ziara ya kikazi. Nyuma yake ni mkewe Tunu. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pida
akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa diwani wa kata ya Nduli
,Iringa, Marehemu, Iddi Chonanga wa CCM katika mazishi yaliyofanyika
Iringa mjini Julai 5,2013. kushoto kwake ni mkewe Tunu. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
ambayepia ni mlezi wa CCM mkoa wa Iringa akitoa salamu za CCM katika
mazishi ya aliyekuwa Diwani wa Kata ya Ndulu, CCM, Iddi Chonanga mjni
Iringa Julai 5, 2013. Alikuwa njiani akielekea Njombe kwa ziara ya
kikazi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mama tunu Pinda (aliyekaa kushoto) akiwa na baadhi
ya waombolezaji walioshiriki katika mazishi ya aliyekuwa Diwani wa Kata
ya Nduli , CCM, Iddi Chonanga yaliyofanyika mjini Iringa Julai 5,2013.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment