Waziri wa maji,Jumanne Magembe akiongea na waziri wa miundo mbinu, Dkt John Magifuli.
Magufuli na mmiliki wa mtandao huu.
SERIKALI
imetoa kipindi cha wiki mbili kwa wale wanaomiliki silaha kinyume na
sheria katika mikoa ya Geita, Kagera na Kigoma kuhakikisha
wanazisalimisha mara moja kwa hiari ili wajiepushe na mkono wa sheria.
Kauli
hiyo imetolewa na Rais wa Jamhuri ya muungano wa
Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete alipokuwa akiongea na wananchi wa
wilaya ya Biharamulo baada ua kuweka jiwe la msingi la uzinduzi wa
ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilomita 154 toka Kagoma hadi
Rusaunga.
Kikwete
amesema baada ya kipindi alichokitoa cha kumalizika serikali itaanzisha
operation maalumu kusaka silaha hizo kwa kupita nyumba hadi nyumba.
Mpiga picha maarufu, Issa Michuzi na mmiliki wa mtandao huu, Audax Mutiganzi.
Mkuu wa mkoa wa Kagera, kanali mstaafu Fabian Massawe,akicheza ngoma.
Jumanne Magembe akiwatunza wasanii.
No comments:
Post a Comment