PINDA AKAGUA DAWATI LA BEI NAFUU NA IMARA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua dawati  lenye ubora uliothibitishwa 
na Shirika la Viwango Tanzania lililouiniwa na kutengenezwa na Kampuni 
ya EDOSAMA HARDWARE ya jijini Dar es salaam, ofisini kwake Februari 16, 
2015. Dawati hilo linalotengenezwa kwa mbao laini ambazo zimebanwa  bila
 kutumia misumari linakadiriwa kugharimu sh. 80,000/=. Wengine pichani 
 kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Eric Shigogo, Mkuu wa 
Idara ya Mikopo ya Benki ya TIB, Masanja Kungu, Ofisa Mazingira, Daniel 
Kapakala na Mkurugrnzi Msaidizi wa Kampuni hiyo,Edward Saguda. (Picha na
 Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment