Tuesday, September 08, 2015

KAMPENI YA URAIS MKOANI MOROGORO


Mama Salma Kikwete akijiunga na viongozi wa CCM mkoa wa Morogoro kumlaki Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala.
 Rais Kikwete akiwasili kwenye uwanja wa jamhuri mjini Morogoro.


No comments:

Post a Comment