Sunday, January 25, 2015

SHERIA NGOWI AENDELEA KUIPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA

Mbunifu wa mavazi
wa kimataifa, Sheria Ngowi ameendelea
kuipeperusha bendera ya Tanzania kupitia kipaji chake cha ubunifu wa
mavazi baada ya kumvalisha Rais mpya wa Zambia, Edgar Lungu katika sherehe
za kuapishwa kwake jana asubuhi katika viwanja vya National Heroes, mjini
Lusaka-Zambia.

No comments:

Post a Comment