Thursday, January 22, 2015

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Salva Kiir Mayardiy wa
Sudan ya Kusini (kushoto), Makamu wa Rais wa zamani wa Sudan Dkt Riek
Machar Teny (wa pili kulia) na Bw. Deng Alor Kuol wakitia saini
mkatana wa  makubaliano ya kukiunganisha upya chama cha SPLM cha
Sudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha Jumatano Januari
21, 2015 usiku. Nyuma yao ni mjane wa marehemu John Garang aliyekuwa
Mwenyekiti wa SPLM Mama Rebecca Nyandeng de Mabior na Afisa wa Wizara
ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bw. Thobias Makoba. Nyuma
yao wakishuhudia utiaji saini huo ni Makamu wwa Rais Dkt Mohamed
Ghalib Bilali, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Rais Yoweri Museveni wa
Uganda
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia wakati  Rais Salva
Kiir Mayardiy wa Sudan ya Kusini (kushoto) na Makamu wa Rais wa zamani
wa Sudan Dkt Riek Machar Teny (wa pili kulia) wakipeana mikono na
kubadilishana nyaraka baada ya kutia saini mkatana wa  makubaliano ya
kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya
Ngurdoto jijini Arusha Jumatano Januari 21, 2015 usiku.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Naibu Rais wa Afrika Kusini Cyril
Ramaphosa (kulia) na Bw. Bw. Deng Alor Kuol  wakifurahia wakati  Rais
Salva Kiir Mayardiy wa Sudan ya Kusini (wa pili kushoto) na Makamu wa
Rais wa zamani wa Sudan Dkt Riek Machar Teny (wa pili kulia) wakipeana
mikono na kubadilishana nyaraka baada ya kutia saini mkatana wa
makubaliano ya kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini
katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha Jumatano Januari 21, 2015
usiku.
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment