Thursday, October 29, 2015

RAIS KIKWETE AMPONGEZA RAIS MTEULE JOHN POMBE MAGUFULI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza
> kwa furaha mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa
> tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli
> mara baada ya Mwenyekiti wa  Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji
> Damian Lubuva  kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya
> uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia
> kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya
> televisheni

No comments:

Post a Comment