Morning Jogging In Mbeya City!
Nimekimbia
mchakamchaka ( Jogging) asubuhi hii kutoka Mwanjelwa hadi katikati ya
Jiji la Mbeya. Ni umbali wa kilomita saba hivi.
Niliporudi nimepita barabara mpya ya Mkapa mpaka Soko Kuu Mwanjelwa.
Mbeya inapendeza na kila ninapokuja naiona inakua. Kuna ya kuandika
zaidi. Nitafanya hivyo baadae. Kwa sasa najiandaa kwenda kutoa mafunzo
ya Online Journalism kwa wanahabari wa Mkoa wa Mbeya na wilaya zake.
Siku njema.
Maggid,
No comments:
Post a Comment