Sunday, April 27, 2014

RAIS KIKWETE AZINDUA KITUO CHA TIBA YA MOYO

Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akimsindikiza  Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha China cha National People's Congress Mhe. Chen Changzhi (kushoto) baada ya uzinduzi rasmi wa  kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili rasmi leo April 27, 2014.
PICHA NA IKULU

Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akiongea na mmoja wa wagonjwa watoto waliofanyiwa upasuaji kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi leo April 27, 2014
 Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete na Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha China cha National People's Congress Mhe. Chen Changzhi (kushoto) wakioneshwa moja ya vifaa vya kisasa vya kuchunguzia maradhi kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi leo April 27, 2014


No comments:

Post a Comment