Tuesday, April 08, 2014

HAFLA YA WAJUMBE WANAWAKE WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA

Spika wa Bunge Anne Makinda akisalimiana na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Asha Seif Ali Idi , Mkew wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda (wapili kushoto ) na Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samia Suluhu (kushoto) katika hafla ya wajumbe  Wanawake wa Bunge Maalum la Katiba iliyofanyika, Kilimani Dodoma, Aprili 4, 2014. Hafla hiyo iliandaliwa na Mama Tunu Pinda na Mama Asha Seif  Ali Idi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment