Sunday, October 12, 2014

WAZIRI MKUU PINDA WILAYANI URAMBO

 Mkuu wa mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa  akizungumza katika mkutano uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Uyui Tabora  Oktoba 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Mbunge wa Urambo Mashariki na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Samuel Sitta akizungumza katika sherhe za kuzindua wodi ya wanawake wajawazito wanaosubiri kujifungua katiak hospitali ya wilaya ya Urambo, Oktoba 12, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua wodi ya   ya wanawake wajawazito wanaosubiri kujifungua katika hospitali ya wilaya ya Urambo, Oktoba 12, 2014. Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum, Margareth Sitta ,,watatu kulia ni Mbunge wa Urambo Mashariki na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta na  wapili kulia ni  Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwansa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu  M izengo Pinda na Mbunge wa Urambo Mashariki, ambaye pia ni Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Samuel Sitta (mwenye miwani ya jua nyuma ya Waziri Mkuu) wakikagua  wodi ya wanawake wajawazito wanaosubiri kujifungua katiak hospitali ya wilaya ya Urambo, Oktoba 12, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi kutoka kwa Wabunge Samuel Sitta na mkewe Margareth  baada ya kuzindua wodi ya   wanawake wajawazito wanaosubiri kujifungua katiak hospitali ya wilaya ya Urambo, Oktoba 12, 2014.   Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment