Mkurugenzi wa chuo cha ualimu cha ERA, Paskazia Barongo, kiko eneo la Kagemu lililoko katika kata ya Kitendagulo, katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera.
Baadhi ya wanafunzi wa chuo cha REA wakiwa darasani.
Mkrugenzi akiwa amesiamam nje ya moja ya vyumba vya madarasa ya chuo hicho.
Mmoja wa walimu katika chuo cha ERA.
Mandhali ya chuo cha ERA.
Mwandishi maarufu wa Ukraine ameuawa kwa kupigwa risasi mjini Kiev na watu waliokuwa wameficha nyuso zao.
Oles
Buzyna alifahamika sana kwa maoni yake ya kuunga mkono Urusi na
amefanya kazi ya uchapishaji akishirikiana na serikali ya rais Viktor
Yanukovych aliyeondolewa madarakani nchini Ukraine.Kifo chake kimekuja siku moja baada ya mwanasiasa mwenye kupendelea Urusi, Oleh Kalashnikov kuuawa katika shambulio linalofanana.
Rais Poroshenko ametaka uchunguzi ufanyike haraka, amesema mauaji haya dhidi ya watu maarufu yamefanyika makusudi na maadui wa Ukraine.