Thursday, March 14, 2013
RAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA CHUO KIKUU
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter
Mhongo (kulia) na Waziri wa Kilimo na Chakula, Mhandisi Chrstopher
Chiza Wakishiriki katika mjadala kuhusu maendeleo ya LABS ya kilimo
yaaani mabara ya kufanya utafiti wa matatizo yanayoikabili sekta ya
kilimo nchini na ufumbuzi wake kwenye hoteli ya Whitesands jijini Dar
essalaam Machi 13, 2013. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi wa Biashara na Maendeleo wa Irelanda, Bwa. Joe Costello, ofisini kwake jijini Dar es salaam March 13, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

WIPO CONFERENCE
H.E. Masaki Okada, Ambassador of Japan to Tanzania speaks during the opening the African
Conference on the Strategic Importance of Intellectual Property
Policies to Foster Innovation, Value Creation and Competitiveness at the
Hyatt Regency Kilimanjaro hotel in Dar es salaam today March 12, 2013.
opening the African Conference on the Strategic Importance of Intellectual Property Policies to Foster Innovation, Value Creation and Competitiveness at the Hyatt Regency Kilimanjaro hotel in Dar es salaam today March 12, 2013.
President Dr Jakaya Mrisho Kikwete chats with Dr. Francis Gurry, Director General of the World Intellectual Property Organization (WIPO) moments before opening the African Conference on the Strategic Importance of Intellectual Property Policies to Foster Innovation, Value Creation and Competitiveness at the Hyatt Regency Kilimanjaro hotel in Dar es salaam today March 12, 2013.

Sunday, March 10, 2013
POLISI WAONGEZEWA ELIMU JUU YA POLISI JAMII NA ULINZI SHIRIKISHI
Mkuu wa kitengo cha polisi jamii na ulinzi shirikishi nchini Benedict Mambosasa akiongea na askari mkoani Kagera dhana nzima ya polisi jamii na ulinzi shirikishi, kulia ni kamanda wa mkoa wa Kagera, Philip Kalangi.
Baadhi ya askari wa jeshi la polisi wakimsikiliza kwa makini, Bw. Mambosasa.
Mwenyekiti wa mtaa wa Osterbay jijini Dar es salaam, Peter Mushi mhamasishaji mkubwa wa dana ya polisi jamii na ulinzi shirikishi akielezea askari namna ya kutumia dhana hiyo kupunguza uharifu mkoani Kagera.

WAZIRI MKUU AKUTANA WA BALOZI WA KOREA NCHINI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Korea Nchini, Bw.
Chung Il kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwake jijini Dar es salaam
Machi 8, 2013(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Posts (Atom)