Askofu msaidizi wa jimbo katoriki la Bukoba Methodius Kilaini akiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa mkoa wa Kagera, Kanali Mstaafu Fabian Massawe baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa kanisa la Kimkunda lililoko wilayani Misenyi.
Joseph Mshumbusi na Protace Ishengoma hawa ni wadau wakuu wa ujenzi wa kanisa hilo.
Dr George Buberwa kushotio na mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Misenyi William Katunzi kulia.
Sunday, January 05, 2014
NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI CHARLES TIZEBA AKAGUA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE WA BUKOB
Naibu waziri wa uchukuzi akiteta jambo na mkuu wa mkoa wa Kagera, Charles Tizeba alipokuwa mkoani Kagera kukagua ujenzi wa uwanja wa ndege wa Bukoba.
KIKAO CHA VIONGOZI WA CCM WILAYANI MULEBA KILICHOANDALIWA NA PROFESA ANNA TIBAIJUKA
Waziri wa ardhi, nyumba na makazi, Profesa Anna Tibaijuka akiongea na viongozi wa CCM ngazi ya kata wilayani Muleba.
Mkuu wa wilaya ya Muleba, Lembris Kipuyo.
Mkuu wa wilaya ya Muleba, Lembris Kipuyo.
Thursday, January 02, 2014
MATUKIO YA MAMBO YA RUZINGA DAY
Bw. Kalisa mwakilishi wa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Misenyi.
Wadau wa maendeleo katika wilaya ya Misenyi, Bw. Frank Kulia na Joel Kushoto.
Ruzinga day utawaliwa na michezo mbaliambali hapa ni mambo ya kuvuta kamba
Mmoja wa wadau wa kata ya Ruzinga, Bw. Kazaula kulia.
Diwani wa kata ya Ruzinga Bw. Kamala.
Wadau wa maendeleo katika wilaya ya Misenyi, Bw. Frank Kulia na Joel Kushoto.
Ruzinga day utawaliwa na michezo mbaliambali hapa ni mambo ya kuvuta kamba
Mmoja wa wadau wa kata ya Ruzinga, Bw. Kazaula kulia.
Diwani wa kata ya Ruzinga Bw. Kamala.
Wednesday, January 01, 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)





