Sunday, August 04, 2013

MAKAMBA AFUNGUA SACCOS YA VIJANA WILAYANI MISENYI



 Naibu waziri wa sayansi na teknologia Januari Makamba akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa CCM na serikali wa wilaya ya Misenyi.
Makamba akiwasili kwenye ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Misenyi kufungua SACCOS ya vijana, kushoto ni mkuu wa wilaya ya Misenyi Kanali mstaafu Issa Njiku na kulia kwake ni kamanda wa vijana wa CCM wa wilaya ya Misenyi, Protace Ishengoma.




MAMBO YA NANE NANE MKOANI KAGERA KWENYE VIWANJA VYA KYAKAILABWA








JANUARI MAKAMBA NAIBU WAZIRI WA SAYANSI NA TEKINOLOGIA MKOANI KAGERA


 Kamanda wa vijana wa wilaya ya Misenyi Protace Ishengoma akimpokea naibu waziri wa sayansi na tekinologia, Januari Makamba, ambaye amefungua SACCOS ya vijana wa wilaya ya Misenyi.





MKUU WA MKOA KAGERA AKIELEZEA MKAKATI WA KUWAONDOA WAHAMIAJI HARAMU



Mkuu wa mkoa wa Kagera, Kanali mstaafu Fabian Massawe akiongea na waandishi wa habari.

Friday, August 02, 2013

KIKWETE AFUTULISHA WASANII WABONGO FLEVA





RAIS KIKWETE NA VIONGOZI WA IYF YA KOREA



Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Kiongozi wa taasisi ya International Youth Foundation (IYF) ya Korea Kusini Mchungaji Ock Soo Park pamoja na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara na ujumbe wa IYF Ikulu jijini Dar es salaam.