Thursday, July 04, 2013
WAZIRI MKUU NA MABALOZI
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na mabalozi
wateuli watakaoiwakilisha Tanzania katika Mataifa mbalimbali. Kutoka
kushoto ni Anthony Cheche (DRC), Chabaka kilumanga (Comoro), Luteni
Jenerali Mstaafu, Abdulrahman Shimbo, (China), Liberata mulamula
(Marekani). , Wilson Masilingi (uholanzi), Mbarouk Nasoro Mbarouk (UAE)
na Modest Maro ,(Umoja wa Mataifa - Geneva. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Tuesday, July 02, 2013
UFUNGUZI WA MKUTANO WA MARAIS
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe George
W. Bush na Mkewe Laura na Mama Salma Kikwete wakati wa ufunguzi wa
mkutano wa wake wa marais wa Afrika Mashariki leo July 3, 2013 katika
hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.
Wageni wakimsikiliza Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa wake wa marais wa Afrika
Mashariki leo July 3, 2013 katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.
PICHA NA IKULU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa wake wa marais wa Afrika
Mashariki leo July 3, 2013 katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.
MWENGE WAZINDUA BOTI IENDAYO KWA KASI YAKUSAFRISHA WATALII NDANI YA ZIWA VICTORIA
Boti iliyozinduliwa ikitaka maji.
Mwenge ukiingia kwenye ufukwe wa ziwa Victoria kuzindua mradi wa Boti.
Mkuu wa wilaya ya Bukoba, Bi. Ziporah Pangani.
Meneja uendeshaji wa kampuni ya utalii ya Kiroyera, William Rutta akisoma taarifa ya mradi.
Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa, Ali Sumali akizindua mradi wa boti ya kusafirisha watalii ndani ya ziwa victoria inayomilikiwa na kampuni ya utalii ya Kiroyera.

RAIS OBAMA ALIPOWASILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais Obama akisalimiana na wananchi kwenye viwanja vya ikulu.
Obama akiongea na vyombo mbalimbali vya habari.
Subscribe to:
Posts (Atom)