Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya washiriki wa semina
ya wabunge kuhusu masuala ya Albino baada ya kuifngua kwenye ukumbi wa
Msekwa, Bungeni Mjini Dodoma, Aprili13, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya washiriki wa semina
ya wabunge kuhusu masuala ya Albino baada ya kuifungua kwenye ukumbi wa
Msekwa, Bungeni Mjini Dodoma, Aprili13, 2013. Kuliani Naibu Waziri wa
Afya na Ustawi wa Jamii, Dr.Seif Rashid.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Saturday, April 13, 2013
BALOZI Dr. KAMALA AWASILISHA HATI YA UTAMBULISHO
Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jumuiya ya Ulaya Mhe. Herman Van Rompuy.
Thursday, April 11, 2013
RAIS KIKWETE AZINDUA MRADI WA UMEME MKOANI DODOMA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika sherehe za uzinduzi wa
mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani
Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC leo April
10, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa
Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes kwa hotuba nzuri
katika sherehe ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa
miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya
serikali ya Marekani kupitia MCC leo April 10, 2013 katika kijiji cha
Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma.
BALOZI Dr. KAMARA AWASILISHA HATI YA UTAMBULISHO
Balozi
Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais
wa Kamisheni ya Jumuiya ya Ulaya Mhe. Jose Manuel Barosso.
Wednesday, April 10, 2013
BUNGENI DODOMA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Mpendae, Salim Hassan
Abdullah Turky kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 10, 2013.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid (kulia) , Mbunge wa Kilindi Beatrice Shellukindo (Wapili kulia) na Mbunge wa Viti Maalum, Zainab Kawawa kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 10, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mbunge wa Viti Maalum, Zarina Madabida wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma, Aprili 10, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Subscribe to:
Posts (Atom)