Saturday, February 16, 2013
RAIS KIKWETE AWAFARIJI WALIOPOTEZA JAMAA ZAO KUTOKANA NA AJALI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifariji ndugu, jamaa na marafiki wa familia zilizoondokewa na watoto na wazazi kufuatia ajali ya barabarani maeneo ya kijiji cha Kibiki, Ubena Zomozi katika mkoa wa Pwani Februari 11, 2013 iliyoua hapohapo watu wanane wakiwemo wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Chalinze baada ya gari dogo aina ya Toyota Mark II lililokuwa limebeba abiria wanane kugongana uso kwa uso na roli.
WAZIRI MKUU PINDA AFUNGA MKUTANO WA MWAKA WA MAOFISA WA POLISI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi
nchini, IGP, Said Mwema (kushoto) na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa
Katavi, APC Dhahiri Kidavashari baada ya kufunga mkutano wa mwaka wa
maofiasa wa polisi nchini, kwenye ukumbi wa Sekwa Bungeni jini Dar es
salaam Februari 15, 2012. (Picha na Ofisi yaWazirioMkuu)
Five Ambassadors Support Lake Tanganyika Basin Development Initiatives
Lake
Tanganyika basin is a trans-boundary resource which is critical to the
economies of the riparian countries of Burundi,
Democratic Republic of Congo, Tanzania,
Rwanda and Zambia. With a
population over 40 million people, high levels of poverty and vulnerability,
persistent conflicts and Lake Tanganyika pollution, there is a compelling need
for supporting Lake Tanganyika basin
development initiatives.
The
Amassadors of the five member States of Tanzania, Burundi, Rwanda, Democratic
Republic of Congo and Zambia met
recently in Brussels Belgium and agreed to undertake joint mobilisation of resources of
implementing lake Tanganyika basin development programmes.
Lake Tanganyika basin development initiatives aim at
achieving the following:
I.
Implementing Lake Tanganyika Water Sanitation and
Evironmental management (LTWASAN) project initiated by East African Community
(EAC), COMESA, UN-Habitat and the Lake Tanganyika Authority.
II.
Stepping up the exchange of goods and
enhance passenger traffic, the following ports are to be expanded and the port
facilities in Bujumbura,
Kigoma, Kasanga, Mpulungu, Moba and Kalemie, Uvira, Kiliba modernised. The purpose
of the port developments is to increase the safety of passengers, facilitate
and accelerate shipping traffic, and to link up all the countries and towns on Lake Tanganyika.
III.
Modernizing communications technology in Lake
Tanganyika in order to control shipping traffic, prevent accidents and be able
to alert rescue services in an emergency.
IV.
As part of the shipping traffic refurbishment and development
programme, waste water treatment plants are to be built in the ports and
the existing ones brought up to standard. At the same time, a waste disposal
system is to be set up that will help generate energy (energy from waste).
V.
Promoting sustainable eco-tourism. The purpose
of this type of tourism is to benefit the local population by conveying the
unique attractiveness of nature and landscape in the region and at the same
time to ensure that livelihoods and the area itself are safeguarded.
VI.
Development of sustainable tourism, the Lake
Tanganyika region is to be connected to the traffic systems in the surrounding
countries by extending and modernising the airports in Mbala, Kalemie, Bujumbura, Kigoma, and
Kasanga.
VII.
Establishing Lake Tanganyika
Development corridor
VIII. Construction and upgrading new railways lines
IX.
Improving lake Tanganyika access
road network
The
implementation of Lake Tanganyika basin development
programmes will result to improved living conditions, improved regional
prosperity and achieve great lakes region peace. This is why the Democratic
Republic of Congo, Burundi, Rwanda, Tanzania
and Zambia are requesting
development partners and the European Union to support Lake
Tanganyika basin initiatives and grant access to the 11th European
Development Fund programme.
Press
Release issued by:
Ambassador Dr. Diodorus Buberwa Kamala
Chairman – Tanzania,
Zambia, Rwanda, Burundi and DRC Group
of Ambassadors based in Belgium – Brussels
15 November, 2013
Dr. KAMALA AENDELEA KUPETA NCHINI UBELGIJI
Dr. Mihaela Smith Mtendaji Mkuu wa
Taasisi ya Jumuiya ya Madola ya Smart Partnership akimkabidhi Bendera ya
Smart Partnership Balozi Dr. Diodorus Kamala kama ishara ya
kukabidhi Dr. Kamala Uenyekiti wa Kuongoza Mabalozi wa Brussels ambao ni
Wanachama wa Taasisi ya Jumuiya ya Madola ya Smart Partnership.
Friday, February 15, 2013
MAMBO YA VALENTINE YALIYOANDALIWA NA HOTELI YA WALKGARD
Baadhi ya walioudhuria sherehe ya siku ya wapendanao valentine iliyoandaliwa na hoteli ya walkgard na kufanyika katika hoteli hiyo iliyoko katika manispaa ya Bukoba.
Familia ya Bw. Stanley.
Mkurugenzi wa hoteli ya walkgard, Adventina Matungwa akiongea na wadau ambao ni pamoja na Deo Rugailuba na mke wake.
Bw. Rwechungula na familia yake.
Dodeliva Bayona kulia na Agnetha Kakwemeile kushoto walikuwa miongoni mwa waliotunukiwa zawadi ya valentine.
Familia ya Bw. Mushobozi mshindi wa zawadi ya valentine iliyotolewa na hoteli wa walkgard.
Familia ya Bw. Stanley.
Mkurugenzi wa hoteli ya walkgard, Adventina Matungwa akiongea na wadau ambao ni pamoja na Deo Rugailuba na mke wake.
Bw. Rwechungula na familia yake.
Dodeliva Bayona kulia na Agnetha Kakwemeile kushoto walikuwa miongoni mwa waliotunukiwa zawadi ya valentine.
Familia ya Bw. Mushobozi mshindi wa zawadi ya valentine iliyotolewa na hoteli wa walkgard.
MAMBO YA CHAKULA CHA MCHANA KILICHOANDALIWA NA JUMUIA YA WAFANYAKAZI WA REDIO YA KASIBANTE
Baadhi ya wageni walioshiriki chakula cha mchana kilichoandaliwa na jumuia ya wafanyakazi wa Radio Kasibante kwa ajili ya watoto yatima na walemavu wa ngozi chakula hicho kiliandaliwa kwenye viwanja vya Radio hiyo iliyoko katika manispaa ya Bukoba.
Baadhi ya watoto walioudhuria chakula kilichoandaliwa na Radio Kasibante.
Baadhi ya wageni waalikwa.
Mkurugenzi wa Radio Kasibante, Richard Leo akiteta jambo na Bw. Kagasheki.
Afisa mahusiano mwandamizi wa mgodi wa Tulawaka unaomilikiwa na kampuni ya Barrick, Bahati Mwabene akiongea wakati wa chakula cha mchana, kampuni hiyo ndio ilifadhili chakula kwa sehemu kubwa.
Baadhi ya watoto walioudhuria chakula kilichoandaliwa na Radio Kasibante.
Baadhi ya wageni waalikwa.
Mkurugenzi wa Radio Kasibante, Richard Leo akiteta jambo na Bw. Kagasheki.
Afisa mahusiano mwandamizi wa mgodi wa Tulawaka unaomilikiwa na kampuni ya Barrick, Bahati Mwabene akiongea wakati wa chakula cha mchana, kampuni hiyo ndio ilifadhili chakula kwa sehemu kubwa.
Subscribe to:
Posts (Atom)



