Sunday, February 10, 2013

Friday, February 08, 2013

TEMBELEA MKOA WA KAGERA UONE MAMBO HAYA UTAYAKUTA NDANI YA HOTELI YA KIMATAIFA YA WALKGARD

 Mandhari ya hoteli ya walkgard, sehemu ya maegesho ya magari.
 Mkurugenzi wa hoteli ya kimataifa ya walkgard, Adventina Matungwa akiongelea masuala ya namna hoteli hiyo inajitahidi kuimarisha utalii wa ndani, kushoto ni afisa utalii wa hoteli hiyo Mugashe Leonidas.
 Sehemu ya garden ya hoteli hiyo.

 Mandhari ya ndani ya hoteli hiyo.



Wednesday, February 06, 2013

RAIS KIKWETE AUDHURIA MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA NCHINI

 Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mchungaji Christopher Mtikila leo Februari 6, 2013 baada ya kuhutubia katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini. Kushoto ni Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na majaji wa Mahakama ya Rufaa leo Februari 6, 2013  katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Kiongozi  Mhe Fakihi Jundu, Jaji January Msofe, Spika Anne Makinda, Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Mathias Chikawe na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Saidi Mecky Sadik leo Februari 6, 2013 baada ya kuhutubia katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini

Tuesday, February 05, 2013

MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA NCHINI MKOANI KAGERA

 Mkuu wa wilaya ya Misenyi Kanali Mstaafu Issa Njiku ambaye alimwakilisha mkuu wa mkoa wsa Kagera kanali mstaafu Fabian Massawe wakati wa sherehe ya maadhimisho ya siku ya sheria nchini, kulia ni jaji mfawidhi wa mahakama kuu kanda ya Bukoba Bw. Mjemas.
 Mwanasheria Aaron Kabunga akisoma taarifa ya mawakili wa kujitegemea.
Baadhi ya mahakimu na maofisa wa mahakama.
 Kamanda wa jeshi la plisi mkoani kagera Philip Kalangi alikuwa ni miongoni mwa maofisa wa serikali walioudhuria siku ya sheria nchini iliyofanyika kwenye viwanja vya mahakama hiyo vilivyoko katika manispaa ya Bukoba.
 Viongozi wa madhehebu ya dini walikuwa miongoni mwa walioudhuria maadhimisho ya siku ya sheria nchini.
 Baadhi ya viongozi wengine mbalimbali wa serikali walioudhuria sherehe hiyo.
 Baashi ya mawakili wa serikali na wakujitegemea walioudhuria sherehe hiyo.
.
 Jaji mfawidhi wa mahakama kuu kanda ya Bukoba, Mjemas akikagua gwaride la heshima wakati wa siku ya maadhimisho ya sheria nchini.

Mwanasheria mfawidhi wa serikali Jackrine Mrema akiwasilisha taarifa wakati wa sherehe ya siku ya sheria nchini.

MGOGORO NDANI YA MANISPAA WAITESA CCM

 Naibu katibu mkuu wa CCM, Mwigulu Chemba akiingia kwenye uwanja wa uhuru uliko katika manispaa ya Bukoba kwa ajili ya kuongea na wananchi wa manispaa hiyo.
 Nchemba akisaini kitabu cha wageni, kulia kwake ni mwenyekiti wa CCM wa Bukoba mjini Yusuph Ngaiza na kushoto kwake ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Kagera, Costancia Buhiye, mwingine ni katibu wa mkoa wa kagera Peter Mushi.
 Baadhi ya wananchi wachache waliojitokeza kumsikiliza Nchemba wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM.
 Hali ilivyokuwa kwenye uwanja wa uhuru, viti vinaonekana vikiwa vitupu, hii ilisabababishwa na mgogoro wa kisiasa uliko katika manispaa ya Bukoba kati ya madiwani wa manispaa ya Bukoba na meya Anatory Amani.