Mkukufunzi wa mafunzo ya waandishi wa habari akitoa maelezo.
Baadhi ya waandishi wa habari walioshiriki mafunzo.
Wednesday, December 05, 2012
Tuesday, December 04, 2012
GARI LILILETA TAFRANI NDANI YA MANISPAA YA BUKOBA
Gari lililokuwa linaendeshwa kwa kasi ya ajabu na vijana ndani ya manispaa ya Bukoba wanaodaiwa kuwa walikuwa wamelewa chakali, sereva alikuwa na nia ya kugonga watu hali iliyowafanya waikimbie barabara.
Mmoja wa vijana waliokuwa ndani ya gari hilo akiwatishia watu, hata hivyo jeshi la polisi lilifanikiwa kuwatia mbaroni.
Mmoja wa vijana akitoa matusi.

Monday, December 03, 2012
KIKAO CHA MKURUGENZI WA MANISPAA YA BUKOBA NA WAANDISHI WA HABARI
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya manispaa ya Bukoba Khamis Kaputah akieleza miradi ambayo itatekelezwa katika manispaa hiyo ambayo ni pamoja na ujenzi wa soko jipya ,upimaji wa viwanja, ujenzi wa kitega uchumi na standi mpya ya mabasi.
Wakuu wa idara wa manispaa hiyo.
Mtunza Hazina Mama Rubwa na afisa tarafa.
Baadji ya waandishi wakisikiliza kwa makini.

Sunday, December 02, 2012
KAMPUNI YA UTALII YA KIROYERA YATUNUKIWA TUZO
Mkurugenzi
wa Kiroyera tours Bi Mary Kalikawe amekuwa ni mmoja wa Wanawake kumi
Tanzania ( Women of Determination) katika setcor ya Utalii na kuibeba
kampuni ya Utalii ya Kiroyera Tours kupata tuzo hiyo usiku wa
jana pale Dar es slaam katika hotel ya Blue Pearl Ubungo. Usiku wa jana
ulikwa wa furaha kwa wanakiroyera tours
Sherehe hiyo iliyowakusanya wafanyakazi toka Kiroyera tours head office ya Bukoba, na wafanyakazi wa kiroyera tours Mwanza office iliyopo Delux Mwanza pamoja na wafanyakazi wa kiroyera tours wa office ya Dar es salaam kinondoni studio waliungana na wadau mbalimbali katika kumpongeza Mkurugenzi wa kampuni hii kwa kutambuliwa na kupata tuzo hii kati ya wanawake kumi bora Tanzania
Sherehe ya tuzo hii imefanyika jana tarehe 1 December iliyondaliwa kwa udhamini mkubwa wa kampuni ya usafirishaji ya vifurushi ya DHL. Kiroyera tours inajivunia kutambulika kitaifa na kimataifa kwani tangu ianzishwe imeshapata tuzo saba sasa na ndio maana wanjulikana kama PRIVATE AWARD WINNING COMPANY.
Tukikukumbusha tumeshapata tuzo mwaka 2004 - Millenium Tourism Award in Madrid Spain, Mwaka 2005-world bank top 10 Pan African Women Inventor and innovator award in Ghana, 2006 UN Habitat Mashariki Innovations in Local Gogovernance in Nairobi Kenya, 2006 ZEZE award ( Cultural promotion Excellence award in Dar es salaam, 2007 SNV ( Zonal Governance Award) in Mwanza, 2007 - Tanzania chamber of commerce (SME) in Dar es salaam na sasa 2012 Women of determination Award special fr Managing Director of Kiroyera Tours)
Katika sherehe hizi kuna wanawake wengine waliopata tuzo katika sector za Elimu, Ubunifu, Usafirishaji hapa kuna mama anayegonga gia kwenye Bus kubwa ya Shabib kati ya Dodoma na Dar es salaam. Ukweli waandaajii wa Tuzo hizi walifanyaa kazi ya kuzunguka Tanzania nzima na kuowaona wanawake wanaopashwa kupongezwa kwa kazi zinazoonyesha ubunifu na determination kubwa na kuwapa tuzo. Wanawake wanaweza!!
Kiroyera Tours inawaomba ushirikiano hasa kwa Watanzania kuingia katika sector hii inoyotoa ajira kwa watu wengi kwa kusomea na kuwekeza katika sector hii ya utalii
Meneje wa kampuni hii Bw Willam Rutta akijulikana sana kwa jina la Willy Kiroyera alimbatana na Mzee Super anawaomba wakazi wa kanda ya ziwa kutumia usafiri rahisi wa fast jet kwa kutoka Mwanza - Dar na Dar Kilimanjaro wahi nafasi
kwani ni nafuu na anasema kiroyera tours imetumia usafiri huu na sasa ukitaka tiketi hizo tafadhali wasiliana nasi tutakupatia tiketi kupitia o fisi yetu ya Dar es alaam kwa kuanzia shi110,000 return mwaza- dar Mwanza au elfu 42,000- 97.000/= iwe sehemu utalii wa ndani kwani wafanyakazi wa kiroyera tours sasa wanatumia fast Jet kwa safari zao
Kwa wale wenye kutaka huduma zetu wakiwa Mwanza karibu ofisi zetuzipo pale Delux Hotel Uhuru road, Dar es alaam tupo Studio na Bukoba tupo Shore road kwenye beach kwa huduma za kukodishwa magari, mahoteli ya kulala, kutembezwa kwenye vivutio, tiketi za ndege, tiketi za mabasi trip za Rubondo na safari za mbugani wasilina nasi kupitia info@kiroyeratours.com
Sherehe hizi ziliambatana na burudani, na dance na hasa wanawake kujieleza mafanikio yao!! it was great evening
All the best
William O Rutta
Operations Manager

Saturday, December 01, 2012
MKE WA MBUNGE WA WAWI AZIKWA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad katika mazishi ya Kisa Gwalugano hamad, Mke wa Mbunge wa Wawi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam Novemba 29,2012. Kusshoto ni Waziri Mkuu Mstaafu, Salim Ahmed Salim na Wapili kulia ni Waziri wa NchiOfisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
BARABARA INAYOZIUNGANISHA KENYA NA TANZANIA YAZINDULIWA
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa nchi wanachama za Jumuiya
ya Afrika Mashariki wakikata utepe kwa pamoja kuzindua rasmi wa Barabara ya Arusha – Namanga – Athi River yenye urefu wa kilometa 104.4 kwa upande wa Tanzania.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika uzinduzi rasmi wa Barabara ya Arusha – Namanga – Athi River yenye urefu wa kilometa 104.4 kwa upande wa Tanzania.

Subscribe to:
Posts (Atom)